STAA WA KIKE BONGO ANAYEJULIKANA KWA JINA LA SISTER P ALIYE WIKA NA VIBAO VYAKE KAMA :"HEY DJ", "ANAKUJA ANAKUJA", "ACHANA NAO", NA VINGINEVYO NYINGI, WIKI HII AMAHOJIWA NA KUNUKULIWA AKISEMA KUWA SASA ANARUDI KWENYE GAME KWA KISHINDO NA WIMBO WAKE MPYA AMBAO AMEMSHIRIKISHA MKALI WA SWAGA MR BLUE KABYSA MICHARAZO...
STAA HUYO AMBAYE KWA SASA YUPO KATIKA HARAKATI YA KU RENEW BRAND YAKE AMENUKULIWA AKISEMA KUWA UJIO MPYA WA SISTER P SIO SISTER P TENA BALI NI {P MATATA} AMBAYE ANARUDI KWA KISHINDO KIKUBWA KATIKA GAME YA MUZIKI,
STAA HUYO PIA AMENUKULIWA AKIWADISS MARAPA WENGINE WA KIKE WA BONGO AKIWEMO ROSA REE NA KUSEMA WOTE SIO ORIGINAL MAANA WANAKOPI SWAGA ZA NJE NA KUZILETA BONGO.
SISTER P AMEAHIDI PUNDE ATAACHIA WIMBO WAKE MPYA UNAOITWA TINGISHA.
No comments:
Post a Comment