Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, 11 April 2018

Penzi la Nandy na Billnass Laibuka Tena Upya...Ruge Wapi?


Wanamuziki Bilnass na Nandy waingia katika Headlines leo tena Baada ya Picha zao wakiwa katika Mapozi ya Mahaba kuvuja...Wawili hawa Walianza kuhisiwa kutoka Kimapenzi kipindi cha nyuma lakini stori ikapotea huku kukiwa na tetesi kuwa Nandy anatoka na Ruge stori ambayo ilikanushwa vikali

Pia Leo wakati picha zao zikitamba mtandaoni Ikumbukwe Ni Kumbukumbu Ya Siku Ya Kuzaliwa Mzee Baba Bilnass

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot