Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, 27 April 2018

HATIMAYE...>>> BEEF LA DIAMOND NA ALIKIBA...

Kwa ufupi tunaambiwa upande wa Diamond umekusudia kufanya juu chini kumaliza kinachoitwa beef na Alikiba kwa madai tathmini yao waliyofanya inaonyesha  beef hilo linamfaidisha zaidi Alikiba kuliko Diamond ambaye anatumia nguvu nyingi kujitangaza kimataifa nje ya Afrika mashariki.
Tunaambiwa uamuzi huo ulichukuliwa serious hasa baada ya sokomoko la nyimbo za "seduce me" na "zilipendwa" ambapo hata hivyo hadi sasa seduce me ina views zaidi ya  milioni 9 huku zilipendwa ikiwa na views zaidi ya milion 16 ingawa ilikuwa ya WCB. Tunaambiwa walioanzisha kinachoitwa beef mitandaoni ni fans wa Kiba siku  za nyuma  lakini hadi sasa kwa ujumla videos nyingi za Diamond ni popular huko youtube kuliko za Kiba so upande wa Diamond umejiona wenye ushawishi zaidi.
Sababu nyingine tunaambiwa Diamond kuwa na Wasafi Media haileti tena maana kuwa na kinachoitwa beef na Kiba kwasababu hata media pinzani zitakosa maswali ya kumuuliza Kiba au Diamond kuchochea tension hasa kwa watu ikiwa Diamond publicly anajionyesha hana tofauti na Kiba  hata ukifuatilia kwenye mazishi ya marehemu Masogange tulijionea wenyewe pale Diamond alipomsalimia Kiba kwa kumpa mkono.
Pia vibweka na visa vya mara kwa mara kutoka kwa Diamond vinamsaidia Alikiba kuenedelea kuwa in news kwa kulinganishwa kwao licha ya Kiba  kutokuwa na matukio,  hivyo Diamond mara zingine kupewa backflash kwa lifestyle yake anayoiona inamfaa huku mpinzani wake (Kiba) akiendelea kuenjoy spotlight.
kwa hiyo kitakacho tokea ni media na mitandaoni kukosa cha kuzungumzia ili Diamond asilinganishwe na Kiba kila mtu awe kivyake kuanzia sasa kwa sababu Diamond atatumia platform ya matukio makubwa kuonyesha kuwa hana tofauti na Kiba na hataki beef ila lengo ni kwa manufaa ya kibiashara kwa upande wa Diamond ingawa hawezi kulizungumzia wazi
haya tusubiri ya kwa upande wa Kiba .....drop comment yako pia...  

1 comment:

Post Top Ad

Your Ad Spot